PUBLIC NOTICE (TANGAZO KWA UMMA)

    Download(Pakua)
1. TATIZO KATIKA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) - 01/3/2019

2. TANGAZO KWA UMMA (NOTICE TO THE GENERAL PUBLIC)

3.

ORODHA YA MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA KABLA YA MFUMO WA ORS AMBAYO YAMEKWISHAFANYA UHAKIKI KATIKA MFUMO WA MTANDAO WA ORS HADI TAREHE 22 MAY 2018 (LIST OF COMPANIES UPDATED DATA ON-LINE THROUGH ORS UP TO 22nd MAY 2018)

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inawakumbusha wamiliki wa Makapuni na Majina ya Biashara yaliyosajiliwa nje ya mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao yaani ORS kuwa wana wajibu wa kuhakikisha kuwa taarifa za Makampuni na Majina ya Biashara yao yameingizwa katika mfumo wa ORS.

Faida za kufanya hivyo ni Pamoja na:

  • Kurahisisha upatikanaji wa taarifa za Jina la Biashara ama Kampuni yako kwani mfumo wetu utaweza kuwajibu wateja wanaohitaji taarifa rasmi (Standard Official Search) za kampuni yako papo kwa papo baada ya kuleta maombi yao kupitia mfumo wa ORS.
  • Wamiliki wa Makampuni na Majina ya Biashara ama wawakilishi wao kuweza kufanya malipo ya Mezania ya Mwaka (Annual Returns) pamoja na mabadiliko mengine (Post Registrations) kwa njia ya mtandao bila kutembelea ofisi za Wakala.

NB: WATEJA WANATAKIWA KUOMBA TAARIFA RASMI ZA MAKAMPUNI HAYA (OFFICIAL SERACH) KWA KUTUMIA MFUMO WA ORS KWA NJIA YA STANDARD SEARCH NA WATAJIBIWA PAPO KWA PAPO (INSTANTLY)
CUSTOMERS REQUESTING OFFICIAL SEARCH IN ORS FOR THESE COMPANIES ARE ADVISED TO USE STANDARD SEARCH WHERE THE RESPONSE WILL BE INSTANTLY


Tafadhali bofya hapa kuona orodha ya Makampuni Mapya Yaliyokwishasajiliwa kwa njia ya Mtandao (ORS) Mpaka kufikia tarehe 28 May,2018.


Tafadhali bofya hapa kuona orodha ya Makampuni yaliyokwisha hakikiwa katika Mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao (ORS) Mpaka kufikia tarehe 28 May,2018.

4. MABADILIKO YA NAMBA YA KAMPUNI KWA MALIPO YA BRELA KWA NJIA YA MPESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY NA HALLOPESA KUTOKA 888999 KWENDA 001001.

CHANGE OF BUSINESS NUMBER FOR ALL BRELA PAYMENT THROUGH MOBILE MONEY (MPESA,TIGOPESA,HALLOPESA AND AIRTEL MONEY) FROM BEING 888999 TO 001001.)
5. KUTOKUPOKEA NYARAKA NGUMU.
6. USAJILI WA MAKAMPUNI KWA NJIA YA MTANDAO
7. ONLINE REGISTRATION SERVICES FOR COMPANIES


7. PUBLIC NOTICE TO ALL COMPANY OWNERS IN TANZANIA (TANGAZO KWA UMMA KWA WAMILIKI WOTE WA MAKAMPUNI NCHINI)

It is a statutory duty for every company incorporated in Tanzania to file their Annual Returns, with the Registrar of Companies, accompanied with Audited Accounts in every year. This is in accordance with sections 128(1) and 132(1) of the Companies Act (Cap. 212). Branches of Foreign Companies registered in Tanzania are, under section 438(1) of the same Law, are also required to file their Annual Accounts in every year. Non compliance of the above mentioned statutory and legal requirements is an offence under the law which may lead to a company be struck off the Registers, owners and officers be taken to Courts of Law, or both. This NOTICE is to remind and direct all companies with outstanding filings to file them within a period of three months from the 8th February 2017. Companies that will fail to comply with this directive within the specified period will be struck off the Registers and their owners and officers be taken to Court, starting from the 8th May 2017.

(Kila Kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania ina wajibu wa kuwasilisha kwa Msajili Wa Makampuni MAREJESHO YA MWAKA (Annual Returns), kila mwaka, yakiambatana na MAHESABU ya Kampuni yaliyokaguliwa na kupitishwa na Mkaguzi, chini ya vifungu 128(1) na 132(1) vya Sheria ya Makampuni (Sura 212). Aidha Matawi ya Makampuni ya Kigeni yaliyoandikishwa nchini Tanzania pia yanapaswa kuwasilisha MAHESABU YA MWAKA (Annual Accounts) kila mwaka, chini ya kifungu 438(1) cha Sheria hiyo. Kutokuwasilisha kwa Taarifa na Nyaraka hizo ni kosa kisheria ambalo linaweza kusababisha Kampuni husika kufutwa, Wamiliki na Wakurugenzi wake kufikishwa Mahakamani au vyote viwili kwa pamoja. Tangazo hili ni kuyataka Makampuni yote ambayo hayajawasilisha Marejesho au Mahesabu yao kama inavyopaswa, kufanya hivyo ndani ya miezi mitatu kuanzia tarehe 8 Februari 2017. Zoezi la kuyafuta makampuni yatakayoshindwa kutekeleza Agizo hili na kuwafikisha wamiliki wake kwenye vyombo vya Sheria litaanza mara baada ya kumalizika muda huo uliotolewa, tarehe 8 Mei 2017.)

8. The following is the list of some companies which have been verified. The list will be being updated as the auditing exercise goes on.
9. The following is the list of some companies which have been verified. The list will be being updated as the auditing exercise goes on.
10. The following is the list of some companies which have been verified. The list will be being updated as the auditing exercise goes on.
11. Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya makampuni yaliyohakikiwa, Msajili ataendelea kutoa orodha ya makampuni mengine kadiri zoezi la uhakiki linavyoendelea