Mgeni rasmi Mhe.Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt.Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali Mbwana akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa katika BRELA Iftar iliyofanyika ukumbi wa Akemi jijini Dar es Salaam tarehe 3 Aprili, 2024. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw.Godfrey Nyaisa akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Jonas Mpogolo.