Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni

Tunaipa Uhai wa Kisheria Biashara yako

Ada za Leseni ya Viwanda

Malipo yote yanalipwe kwa Msajili wa Kampuni ambapo watapewa stakabadhi. Waombaji wanaaswa kuepuka kufanya malipo pasi na kupewa stakabadhi za malipo. Matakwa ya malipo yoyote kwa afisa yeyote nje ya malipo yaliyobainishwa, yanapaswa kuripotiwa kwa kupiga simu zifuatazo: 2180113,2181344, 2180141 kwa hatua zaidi.

UFAFANUZI WA ADA KATIKA GHARAMA ZA UWEKEZAJI  KIASI CHA ADA
Chini ya 5,000,000 TZS.10,000 /=
Zaidi ya 5,000,000 lakini si zaidi ya 10,000,000 TZS.50,000 /=
Zaidi ya 10,000,000 lakini si zaidi ya 50,000,000 TZS.100,000 /=
Zaidi ya 50,000, 000 lakini si zaidi ya 100,000,000 TZS.500,000 /=
Zaidi ya 100,000,000 TZS.800,000 /=