Ada za Majina ya Biashara
| OMBI | ADA (Tsh) |
| Ada ya maombi | 15,000.00 |
| Ada ya uendeshaji (inalipwa kila mwaka) | 5,000.00 |
| Maombi ya kusajili Notisi ya Usitishaji wa Biashara | 10,000.00 |
| Maombi ya kusajili mabadiliko ya taarifa yoyote iliyosajiliwa | 15,000.00 |
| Kukagua rejesta | 2,000.00 |
| Nakala ya sehemu ya isiyo na ithibati ya waraka wowote ulio chini ya uangalizi wa Ofisi ya Msajili, kwa ukurasa au sehemu ya ukurasa | 3,000.00 |
