1. Kampuni ambayo thamani ya hisa zake halisi ni: |
- Zaidi ya Tsh.. 20,000/= lakini si zaidi ya Tsh.. 1,000,000/= Tsh. 95,000 /= |
- Zaidi ya Tsh.. 1,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh.. 5,000,000/= Tsh. 175,000 /= |
- Zaidi ya Tsh..5,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh..20,000,000/= Tsh. 260,000 /= |
- Zaidi ya Tsh.. 20,000,000/= lakini si zaidi ya Tsh.. 50,000,000/= Tsh. 290,000 /= |
- Zaidi ya Tsh..50,000,000/= Tsh. 440,000 /= |
2. Usajili wa kampuni ambayo haina mtaji wa hisa ambapo idadi ya washirika ni kama ilivyoelezwa katika Malengo na Katiba ya Kampuni: Tsh. 300,000 /= |
3. Ada ya kufungua jalada kwa ajili ya maombi, maana yake Tsh.. 22,000/= kwa kila waraka, yaani Malengo na Katiba ya Kampuni. Tsh. 66,000 /= |
4. Gharama ya kila Ushuru wa stempu katika kila nakala ya Malengo na Katiba ya Kampuni ni Tsh. 10,000 /= |
5. Gharama za ushuru wa stempu katika Fomu na. 14b Tsh. 1,200 /= |
6. Kulinda jina la kampuni ni Tsh. 50,000 /= |
7. Kubadilisha jina la kampuni Tsh. 22,000 /= |
8. Gharma za upokeaji na/au usajili wa waraka wowote kwa Msajili chini ya Sheria ni Tsh. 22,000 /= |
9. Gharama za kuchelewa kufungua faili/usajili wa waraka wowote zinalipwa kwa Msajili (kwa mwezi au sehemu ya siku za mwezi) TSHS 2,500 /= |
10. Gharama za kujaza taarifa ya mwaka Tsh. 22,000 /= |
11. Gharama za ithibati ya waraka wowote kwa ukurasa ni Tsh. 3,000 /= |
12. Gharama za kutafuta jalada lolote/au kupekua kitu chochote ni Tsh. 3,000 /= |
13. Gharama kwa ajili ya ripoti ya utafutaji kwa faili ni Tsh. 22,000 /= |
14. Ada zinazolipwa na kampuni ambapo Kifungu XII cha Sheria kinahusika |
- Gharama za usajili wa nakala yenye ithibati ya mkataba, sheria au malengo na katiba ya kampuni, au muongozo mwingine au kufafanua katiba ya kampuni ni Dola za Kimarekani 750 /= |
- Gharama za ujazaji wa waraka wowote unaohitajika kupelekwa kwa Msajili chini ya Kifungu XII cha Sheria hii/mbali na mizania ni Dola za Kimarekani 220 /= |
- Gharama kwa ajili ya kufungua jalada la mizania Dola za Kimarekani 220 /= |
- Ada ya kuchelewa kufungua jalada/usajili wa waraka wowote inalipwa kwa Msajili (kwa mwezi au sehemu ya siku za mwezi) ni Dola za Kimarekani 25 /= |
15. Gharama ya kupata nakala ya Cheti cha Usajili Tsh. 4,000 /= |