Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni

Tunaipa Uhai wa Kisheria Biashara yako

Majukumu ya BRELA

Majukumu ya Msingi ya BRELA

  1. Kusajili Kampuni (The Companies Act, Cap. 212);
  2. Kusajili Majina ya Biashara (The Business Names (Registration) Act, Cap. 213 R.E. 2002);
  3. Kusajili Alama za Biashara na Huduma (The Trade and Service Marks Act, Cap. 326 R.E. 2002);
  4. Kutoa Hataza (The Patents (Registration) Act, Cap. 217 R.E. 2002);
  5. Kutoa Leseni za Viwanda (The National Industries (Licensing and Registration) Act, Cap 46 R.E. 2002);
  6. Kutoa Leseni za Biashara Kundi "A" (The Business Licensing Act Cap. 208 R.E. 2002)