Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni

Lango la Mafanikio ya Biashara

Habari

FURSA ZA AJIRA KATIKA SHIRIKA LA MILIKI UBUNIFU DUNIANI (WIPO)


Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (the World Intellectual Property Organization - WIPO) limetangaza nafasi ya kazi. Kwa taarifa zaidi bonyeza kiunganishi hapo chini
https://www.brela.go.tz/uploads/text-editor/files/AJIRA WIPO_1786438171.pdf