Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni

Lango la Mafanikio ya Biashara

Habari

VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA


Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wanakukaribisha kujiunga katika Programu maalum ya miaka miwili kwa vijana wabobezi wenye vipaji kitaaluma inayotolewa na Shirika la Kimataifa la Miliki Ubunifu (WIPO), hii ni fursa kwa vijana wabunifu kujiunga. Kwa maelezo zaidi bofya /ingia kwenye tovuti ya https://www.wipo.int/web/working-at-wipo/young-experts-program