Habari
TANGAZO LA UFADHILI WA MASOMO NA UDAHILI KATIKA PROGRAMU YA SHAHADA YA UZAMILI YA MILIKI UBUNIFU (MIP)
Maombi yanakaribishwa kutoka kwa waombaji wenye sifa kwa ajili ya udahili katika Programu ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Bunifu (Master of Intellectual Property – MIP). Programu hii inatolewa kwa ushirikiano kati ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dar es Salaam, Tanzania; Shirika la Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO); Shirika la Dunia la Miliki Bunifu (WIPO); pamoja na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA).
https://www.brela.go.tz/uploads/text-editor/files/UFADHILI WA MASOMO_1786366394.pdf
