Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw.Godfrey Nyaisa (kushoto) akimkabidhi cheti mtumishi hodari wa Taasisi, Bw. Seka Kasera, wakati wa hafla ya kuwapongeza watumishi kwa utendaji kazi bora ulioiwezesha Taasisi kufikia malengo. Hafla hiyo imefanyika katika ofisi za BRELA jijini Dar es Salaam.